Sometimes hizi mada huwa naziona kama ni za kutunga kuchangamsha genge,kwa sababu sehemu za kupatana watu wa aina hii zipo kwanini wahusika wasionane huko?
Mfano,kama mtu ana hiyo hali na huudhuria kuchukua ARVs kwenye vituo vya afya pale si panakuwa na wenzake jinsia tofauti?nadhani nao pia wakiwa na hamu ya kupata wenza sasa kwanini ktk hao hao asimtafute mwenza!tena ndiyo vizuri zaidi maana atachagua kitu anachokitaka tofauti na kwenye mitandao kama hivi hujui atakuja anaefanana vipi.