Wakuu natafuta pacha wa kike ambae atakuwa anatumia avatar hii ya kike ambayo inafanana na avatar yangu!πππSifa kubwa awe na tamaduni kama za kwangu hapa jukwaani na awe ni mdadaπ€.Kama unataka kuwa pacha angu wa kike basi chukua picha hii na uifanye kuwa avatar yako kisha nijulishe kuwa umekubali kuwa pacha angu wa hiariπ€.Nikiwa nacomment mahali basi nitakuwa nasema cc.pacha angu fulani!π€
I have decided to stick with love,hate is too great a burden to bear!
Sina chura, sipendi siasa, mie ni mpenzi msomaji, cc zako zitanitosha , πππ
Ila ID yako naikubali sana
I have decided to stick with love,hate is too great a burden to bear!
Sina chura, sipendi siasa, mie ni mpenzi msomaji, cc zako zitanitosha , [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila ID yako naikubali sana