"Hamna haja ya kusema kutokana na janga la ukosefu wa ajira kijana" sawa mkuu Nimekuelewa. Asante kwa comment NzuriHamna haja ya kusema kutokana na janga la ukosefu wa ajira kijana. Kwan ulitaka ukimaliza tu siku hiyo uingie kwenye ajira. Anyway pambana maisha ni kujaribu huku na kule kulingana na furusa zinapopatika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja Sana mkuuUmefanya vzr kujiajiri ! Kuna vijana wa age yako wengi wako bado mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo yeye anaenda tuu kwa Wakulima huko Kahama na kuchukua mchele bila hela mpaka hao Vijana wengine waliopo mtaani washindwe?Umefanya vzr kujiajiri ! Kuna vijana wa age yako wengi wako bado mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema kulingana na janga LA ukosefu wa ajira wakati hiyo biashara ya Mchele tayari ni ajiraKwa majina naitwa James Emmanuel nina umri wa 27 nimehitumu chuo kikuu mwaka jana mwezi wa 8, Hivyo kulingana na janga la ukosefu wa ajira nimeamua kujiajiri kupitia biashara ya Mchele.
Mchele wangu unatoa KAHAMA na kuleta Moshi - Kilimanjaro. Mchele wangu ni mzuri wenye sifa,ulionyooka na unanukia.
Nimekuja humu JF kutafuta mtu ambaye atakuwa anahitaji mchele kwa matumizi ya nyumbani, hotelini, mikutanoni nk. Ili aweze kuniungusha. Na kama utakuwa na hoteli basi naomba unipe oda niwe nakuletea mpka ulipo.
Kuhusu bei mchele wangu una bei nafuu sana, kwa mawasiliano zaidi naomba uje PM
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwasiliane 0718-321418 WhatsApp WhatsAppKwa majina naitwa James Emmanuel nina umri wa 27 nimehitumu chuo kikuu mwaka jana mwezi wa 8, Hivyo kulingana na janga la ukosefu wa ajira nimeamua kujiajiri kupitia biashara ya Mchele.