Wadau habari zenu,
Naomba msaada kidogo kwa yeyote atakaye kuwa na idea..
Natafuta nyumba ya kupanga, kodi si zaidi ya laki 4, maeneo ya mwenge, kijitonyama, makumbusho, victoria or mikocheni.
Nyumba iwe kwenye hali nzuri, and mmiliki kama atakubali kodi ya miezi sita kwanza.
Natanguliza shukrani...