KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 80
Iwe inaweza kutumika kwa watu wawili ya upande mmja uwe na master bedroom na sebule n aaupande wapili hivyo hivyo jiko kushare sawa tu,kama kuna garage ni ladha tosha
nani aachie hizo za bure?Nipo sinza nataka maeneo ya kinondoni,kijitonyama ,magomeni,regent estate,mwenge na upanga ,hata ya national housing kwa wanaoachia nipo tayari