Natafuta nyumba

Natafuta nyumba

jackiedmos

New Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
3
Reaction score
0
natafuta nyumba maeneo ya kuanzia mbezi Africana kurudi hadi kijitonyama hadi makumbusho. vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, dining, na parking.

Thanks
 
Kuna nyumba ipo sinza barabara ya kanisani karibu na udzungwa library bei m70 kama uko tayari tuwasiliane
 
Kuna nyumba ipo sinza barabara ya kanisani karibu na udzungwa library bei m70 kama uko tayari tuwasiliane
Mkuu nilivyomuelewa mimi huyu anatafuta nyumba ya kupanga na sio ya kununua
 
Nyumba ya Bajeti hiyo ipo Mbezi Beach nipigie katika simu hii nikupatie maelezo 0784225000 au 0717114409
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom