Bintiwangara
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 551
- 287
ofa yangu maximum laki moja .iwe chumba na Sebure chumba kiwe Master , ndani ya fence Maeneo ya Dar es salaam, kuanzia ubungo ,kimara Rombo au Msewe pawe na maji na gari lifike kwa urahisi . Umeme mita inayojitegemea