Tabata segerea kuna nyumba ya jirani yangu naona ameeka tangazo inapangishwa. Nadhani ni three bed rooms master including. Sina uhakika sana lakini nadhani mpangaj aliyetoka alikua akilipa laki nne kwa mweziWadau habari. Natafuta nyumba ya kupanga iwe na vyumba kuanzia viwili au vitatu vya kulala including master. Priority mbezi beach knyama au kawe. Napenda nyumba ambayo ni self apartment na umeme si wa kuchangia. Kwa mwenye msaada plz ni pm
Kaka mi kazini ni victoria na kwa sasa nakaa kimara so nakimbia foleni maana natumia mda mwing sana barabaran
Jamaa ana bahati sana,naona nyumba zinamtafuta yeye badala ya kuzitafuta.
Hio yako ina vyumba vingapi na ni bei gani kwa mwezi??na unahitaji kodi kwa mwaka au miezi sita...fafanua plzz.Kaka njoo kigamboni.ipo nyumba ina master bed room na sitting room.maji yapo .geti ni dk 10 toka ferry .pia kwenda kazi mkuu ni rais bcs asubuhi kwenda victory hakuna foleni na wakati wa kurundi jioni hakuna foleni.if serous contact 0713959290
Asprin nadhan kuna hoja ambayo unayo na sijaijua. Kwan ni kosa kufanya kuchagua kwa mujibu wa ninachotaka? Je nafanya kwa kumpendeza mtu au nafanya ninavohitaji? Sioni mantiki ya kwann watu mnafanya kukurupuka ku comment non sense. I have choices brother.

Cool down young bro...... Don't take JF too serious.....:focus:
😛oa.........😛eace:........:amen:..........:welcome:Hahahaha u r fun of ur self. Haya big bro