vicent tibaijuka
JF-Expert Member
- Mar 22, 2012
- 268
- 59
Habari zenu wana JF, natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach, kijitonyama, mwenge na kwingineko kwenye usafiri mzuri. iwe ya vyumba 2-3, iwe ndani ya gate. unaweza nsms 0717 42 11 96. shukrani.NB: kuhusu bei tutaelewana katika simu.