mwathu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 403
- 210
Habari,
Natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala, siting room jiko na choo cha ndani pia iwe na sehemu ya kupaki gari katika maeneo kuanzia victoria, makumbusho na mwenge Jijini Dar es salaam. Yeyote anaefahamu au mwenye uwezo wa kusaidia naomba msaada wake coz nimechoshwa na madalali. Natoa hoja.