Bwana Kimbunga
Member
- Nov 28, 2012
- 28
- 7
Hello wana JF
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya chang'ombe......napendelea iwe maeneo ya TCC ama upande wa Mchicha. Iwe na room moja na sebule yake pia.
Regard,