Sayansi hupataki?ipo kama ulivyosema,kodi 1m kwa mwezi unaweza kulipa kila miezi 2.PM kama unaiihitaji.
sh ngapi kwa mwezi!!!!!???
kuna nyumba ipo masaki. Full ina nyumba vinne park ya magari mawili, jiko na swiming pool. Nataka nihamia sehem nyininge.
inaenda kwa mwezi mil 15.
unalipa mwezi mmoja mmoja
kuna nyumba ipo masaki. Full ina nyumba vinne park ya magari mawili, jiko na swiming pool. Nataka nihamia sehem nyininge.
inaenda kwa mwezi mil 15.
unalipa mwezi mmoja mmoja
1milion. Hujaona hapo ama unashangaa?