natafuta nyumba ya kupanga

natafuta nyumba ya kupanga

kudikwazu

Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
11
Reaction score
1
​natafuta nyumba ya kupanga sinza vyumba wiwil na sebule ,jiko iwe self ada isizid 250000, please nisaidien citak dalali:A S 465::eek2::eek2:
 
nyumba hiyo ninayo sinza na kijitonyam na mimi ni dalali , ukikosa nitafute
 
nyumba hiyo ninayo sinza na kijitonyam na mimi ni dalali , ukikosa nitafute

Kwa nink hadi akose ndo akutafute? Kama ipo mwambie ipo, mpe mawasiliano yako akurafute.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom