Natafuta nyumba ya kupanga

Natafuta nyumba ya kupanga

Sikwepeshi

Senior Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
162
Reaction score
18
Mambow wakuu,siku zote naamini jf ni sehemu ambayo ina nafasi kubwa sana kimaisha natafuta nyumba ya kupanga iwe maeneo ya changanyikeni,ubungo,mwenge,mikocheni,mbez beach au kawe.iwe inajitegemea yenyewe ina vyumba 2 kikiwepo master bed room if pocbo,self contained.thnx in advance
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom