Wakuu habari,
Nilikua nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Africana, makongo au kigamboni vigezoπ iwe self contained yani chumba kimoja na choo ndani kwa ndani ii) pasiwe na msongamano wa nyumba nyingi
Gharama za malipo kwa mwezi tutaelewana baada ya kuiona nyumba
Pendekezo: ikiwa nyumba ipo na una smartphone, unaweza ipiga picha ukanirushia kwenye namba hii 0712668152 ya whatsapp. au unaweza nipigia tukaongea