Ndugu zangu wanajamvi habari zenu.?
Natafuta nyumba ya kupanga nzuri ya kupanga.
- Chumba kimoja na sebule au zaidi,
- Kodi isizidi Tshs. 100,000/- kwa mwezi,
- Iwe self contained,
- Iwe na umeme,
- Maji yawepo,
- Iwe sehemu yenye usalama,
- Iwe ndani ya geti,
- Isiwe nje ya mji sana.
Maeneo ninayotaka kama vile Kigamboni, Kinondoni, Kijitonyama, Mikocheni, Mbezi zote, Mwenge, Sinza, Upanga, Ubungo,Tabata nk.
Tafadhali mwenye kujua anipm nashukuru sana.