Natafuta Nyumba ya kupanga

Natafuta Nyumba ya kupanga

kideko

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
296
Reaction score
217
Natafuta Nyumba ya kupanga vyiumba viwili hadi vitatu mazingira yawe mazuri ya kuvutia. Maeneo kuanzia kimara mpaka Mbezi. Isiwe mbali sana na barabara. Kodi laki moja mpaka laki moja na ishirini kwa mwezi. Kama unayo njoo Pm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
njoo ukae kwangu ila hyo kodi utanipa,utalipa umeme,maji na usafi .
 
Natafuta Nyumba ya kupanga vyiumba viwili hadi vitatu mazingira yawe mazuri ya kuvutia. Maeneo kuanzia kimara mpaka Mbezi. Isiwe mbali sana na barabara. Kodi laki moja mpaka laki moja na ishirini kwa mwezi. Kama unayo njoo Pm.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyumba vitatu kwa bei hiyo!!!!!halafu unatoa na masharti hata kama Msukuma kabana...loh.
 
Kunanyumba yetu kiruvya gogoni sio mbali sana toka stand vyumba 2 vya kulala,choo,jiko na sebure pia luku ni yako binafsi na baji bei 130 top kama hutojar karibu 0629683560
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom