Natafuta nyumba ya kupanga Zanzibar

Natafuta nyumba ya kupanga Zanzibar

Darwin

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2008
Posts
908
Reaction score
57
Wadau wa Zanzibar kama mpo natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Michenzani, Kikwajuni, Mtendeni, Mlandege na Kilimani.
Iwe na vyumba viwili ya kulala au vitatu.
jiko na living room.
 
Niliishi kilimani wakati nipo kikazi huko ngoja nimtafute yule dalali aliyenisaidia afu nita kutext
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom