Natafuta nyumba ya kupanga popote dar

Natafuta nyumba ya kupanga popote dar

Foundation

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,420
Reaction score
613
Natafuta nyumba yenye vyumba viwili, sebule,jiko na choo popote DAR ES SALAAM. Iwe ndani ya fensi na sehemu ya kupaki gari.

KODI YA MWEZI ISIZIDI LAKI MOJA NA NUSU ( 150,000/=)
 
popote? vipi haya maeneo
1.Manzese
2.buguruni kwa mnyamani
3.msasani bonde la mpunga
 
popote? vipi haya maeneo
1.Manzese
2.buguruni kwa mnyamani
3.msasani bonde la mpunga

Naamanisha sehemu ambayo naweza kupata nyumba yenye vigezo hivyo na kwa gharama hiyo. Huko hapana, usalama wa eneo husika ni muhimu sana na mazingira yawe mazuri ya nyumba na eneo husika
 
Magogoni je, nadhani ni salama zaidi.
 
ipo moja pale Gongolamboto jirani kabisa na geti la kambi ya jeshi
 
Natafuta nyumba yenye vyumba viwili, sebule,jiko na choo popote DAR ES SALAAM. Iwe ndani ya fensi na sehemu ya kupaki gari.

KODI YA MWEZI ISIZIDI LAKI MOJA NA NUSU ( 150,000/=)

Haina fensi, lakini nyumba 5 zinazojitegemea zimejengwa eneo la Kigamboni. wote tunaoishi hapo tuna magari. you may make your move through this number 0715414924 au 0767414924
 
Haina fensi, lakini nyumba 5 zinazojitegemea zimejengwa eneo la Kigamboni. wote tunaoishi hapo tuna magari. you may make your move through this number 0715414924 au 0767414924

Nashukuru sana, ila kama kuna mtu mwingine anajua sehemu nyingine yenye vigezo nilivyotaja naomba naye aseme
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom