Wanajf,
Salaam zenu wote.Mimi natafuta nyumba ya kupanga katika maeneo tajwa haswa lakini nina flexibility kiasi kwa maeneo mengine pia kama mwenge na ubungo.Natafuta nyumba ya bedroom 2, choo na bafu ndani na preferably yenye fence.Offer yangu ni 150,000 - 200,000/= kwa mwezi miezi sita (6)
Mwenye taarifa tafadhali anijuze.