Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya sinza,tabata st.mary,shule au relini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya sinza,tabata st.mary,shule au relini.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Uhurunakazi, Jul 6, 2011.

 1. U

  Uhurunakazi New Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajf,
  Salaam zenu wote.Mimi natafuta nyumba ya kupanga katika maeneo tajwa haswa lakini nina flexibility kiasi kwa maeneo mengine pia kama mwenge na ubungo.Natafuta nyumba ya bedroom 2, choo na bafu ndani na preferably yenye fence.Offer yangu ni 150,000 - 200,000/= kwa mwezi miezi sita (6)
  Mwenye taarifa tafadhali anijuze.
   
Loading...