Hello wana jamii, samahanini kea usumbufu, sijui kma ni jukwaa husika au laa, natafuta nyumb ya kupanga hapa dar, iwe kino,knyama mwenge mikocheni nk. Kodi iwe chini ya 150000 kwa mwezi. Ni pm kama waweza kunisaidia.

Hehe asante sana bwana Asante kwa ushauri, ila nishapata pale msasani single master room saaafi na parking space ipo. Nimelipia kodi ya mwaka kwa hiyo 150 usiku huu, na inshaalah kesho nahamia.