Natafuta nyumba ya kupanga Dar Kimara au Tabata

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo tajwa hapo juu. Iwe na vyumba 2 au 3 vya kulala, master na public toilet. Jiko stoo seble, na paking, iwe na maji. Offer ni laki 1.70 nahamia dar kikaz sasa hv niko mbeya. No 0754078015
 
ckia mkuu mm co mgeni dar. Uko ndio hom so usizani ndio nakuja kuanza maisha, ulitaka nikutajie laki mbili uniletee ya laki 3.najua madalali wanajua nn maana ya udalali ww kaa kimya, wausika wakifika wataniambia ipo ya sh. Ngap
 
nahitaji dalali tu kama ww sio dalali pita
 
Kaka kwa tabata kwa hiyo bei huwezi pata, bt km upo serious kuna ya 250 na 300, tabata, hata hivyo nichek kwa 0713415537
 
Mkuu Tabata chumba na sebule kinachojitegemea mf. choo,bafu na jiko ni bei gani?
 
Naona madalali hamna mpaka nije wenyewe nn
 
Mkuu usije ukaona mm wa kuja naweza nikawa mwenyeji kuliko ww,kabla cjaja mbeya nilikua nakaa tabata segerea nyumba nilikua nalipa laki 1.5. mwaka mmoja uliopita. So najua kwa laki mbili naweza pata. Kama inashindakana nakuja hivi karibuni nitatafuta mwenyewe. Hapa anahitajika Dalali wa nyumba sio unakuja ofa yako ndogo sijui nn. Mbona hautaji una nyumba ya sh. Ngap. Mimi hua sipendi watu wenye viranga kama ww. Kwa mwenye nyumba tuwasiliane 0754078015
Tarehe 10 natoka mwanza nakuja dar kutafuta
 
atleast 250k but 170k nope!

No; zipo tena mpya lakini kule Kinyerez kwa ndani tena full upepo. Ila ukitaka maeneo ya jiran kama Kimanga, Segerea, Bima, Chang'ombe,Liwiti na Dar West kidogo bei ni juu!
 
Mkuu usije ukaona mm wa kuja naweza nikawa mwenyeji kuliko ww,kabla cjaja mbeya nilikua nakaa tabata segerea nyumba nilikua nalipa laki 1.5. mwaka mmoja uliopita. So najua kwa laki mbili naweza pata. Kama inashindakana nakuja hivi karibuni nitatafuta mwenyewe. Hapa anahitajika Dalali wa nyumba sio unakuja ofa yako ndogo sijui nn. Mbona hautaji una nyumba ya sh. Ngap. Mimi hua sipendi watu wenye viranga kama ww. Kwa mwenye nyumba tuwasiliane 0754078015
Tarehe 10 natoka mwanza nakuja dar kutafuta

Mzee mbona umeleta thread na umekuwa mkali kama shubiri! Punguza jazba, walio wenyeji wa Dar huwa hawajistukii hivyo bwana, ww unaonekana wazi ni mgeni. Uje utafute nyumba mwenyewe Dar bila dalali....dsh sawa bwana kila lakheri, ila nashauri upunguze jazba!
 
Co hivyo Mkuu unajua uyu ananiona me Boya, Na Dar sio mgeni nimezaliwa banana nimekulia banana na home ni Banana, so Watu wengine wakiona mtu unatoka mkoa wanajua Boya anaingia Town. So asinichukulie kihivyo. Nyumba nimeisha pata Maeneo ya Kinyerezi Nakuja kuichek soon.
 
Banana si dar mkuu....ni dar kijiografia tu
 
Co hivyo Mkuu unajua uyu ananiona me Boya, Na Dar sio mgeni nimezaliwa banana nimekulia banana na home ni Banana, so Watu wengine wakiona mtu unatoka mkoa wanajua Boya anaingia Town. So asinichukulie kihivyo. Nyumba nimeisha pata Maeneo ya Kinyerezi Nakuja kuichek soon.

wewe ni boya tu. na wala hujui lolote kuhusu dar mshamba wewe. wewe ni pimbi tu unajifanya unajua kumbe hujui chochote. wewe ni ng'ombe tu dar hata kama umezaliwa dar. wewe ni panya.buku tu fokofoko wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom