Ila pia kua makini na wenyenyumba feki (matapeli),
Unaeweza kujikuta unamlipa mwenye nyumba feki, akiwa na documnts feki mbele ya mashahidi feki na ofisi za serikali za mtaa feki.
Ninayo ila ipo mbagala
Soma kifungu #2, ila sio mbaya iwapo ukaweka picha za kunihamasisha nikakae Mbagala.
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app