Wajamemi nipeni habari, sitaki hii pesa iyeyuke naona kina dadac wananitolea macho
Nitafute mkuu nyumba ipo tabata segerea inauzwa 250m
Umeanza vizuri na unamaliza vibaya.
Maana kama vile pesa ni ya wizi au umepiga issue ambayo sio halali.
Maana kama unamiliki 50m halali,ni kwamba unamsingi mzuri wa maisha au biashara.Sasa kwanini uwe limbukeni namna hiyo na ugeni wa pesa.
Fika 75m uhamishe mtu
Nitafute mkuu nyumba ipo tabata segerea inauzwa 250m
Mkuu hiyo ni joke tu ichukulie hivyo, sorry kama nimewakwaza. Bt am seriously looking for it. Hiyo 75 hiko wapi mkuu, weka description kidogo.