Natafuta nyumba ya kununua Dar.

MUSINGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,072
Reaction score
1,267
Habari waungwana,natafuta nyumba ya kununua ya familia iliyokamilika nifanye kuingia tu na isizidi m70.
 
Reactions: MC7
Ungesema na sehemu unazopendelea utakuwa umewarahisishia kazi wadau
 
Weka namba yako ya sim basi

Ova
 
Habari waungwana,natafuta nyumba ya kununua ya famikia iliyokamilika nifanye kuingia tu na isizidi m70.
Mwananyamala Komakoma, nyumba za National housing vyumba sita ukumbi kati, eneoo kubwa 80Mil
 
Reactions: MC7
Habari waungwana,natafuta nyumba ya kununua ya famikia iliyokamilika nifanye kuingia tu na isizidi m70.
Mkuu, nichek inbox. Nyumba ipo Mbezi Makabe. Ina uwanja mkubwa na ni nyumba ya kisasa...
 
wakuu samahani nilitingwa hizi siku mbili na purukushani ya ugonjwa nawapigia wote mlionipa ushirikiano
 
Reactions: MC7
Habari waungwana,natafuta nyumba ya kununua ya famikia iliyokamilika nifanye kuingia tu na isizidi m70.
Makonda anakuona kaka... na hali ngumu hii wewe unatafuta nyumba ya kununua? Unapata wapi pesa ambapo wengine hatupajui?!.. unga x 500...
 
Mkuu Mona hujapiga number 0798676204 AI 0712459985
ntakupigia mkuu kuna mmoja amenionyesha na kesho tutapitia nyingine kama sintiridhika ntakupigia ili nisipige simu huku na huku itakuwa usumbufu kidogo
 
NINAYO NYUMBA KIGAMBONI.NI MWENDO WA DK 5 TU KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA KWENYE PANTON.IPO KARIBU NA UZUNGUNI GUEST HOUSE.INA VYUMBA VINNE VYA KULALA(KIMOJA NI MASTER),SEBULE KUUBWA,JIKO,STORE,CAR PARK INAINGIA GARI MBILI(ZINAFUNGIWA NDANI),IMEZUNGUSHIWA UKUTA,UMEME NA MAJI YAPO."BEI MIL 90".KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA OFFER.NYUMBA NI YA KWANGU(HAPO HAKUNA DALALI) MAWASILIANO 0767 61 00 68
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…