Natafuta nyumba,rumu ya kuishi mbeya

Natafuta nyumba,rumu ya kuishi mbeya

mabwepand

Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
86
Reaction score
22
Natafuta nyumba hususani room moja ya kuishi hapa mbeya,bajeti yangu ni 30000 mpaka 50,000 kulipa ni miezi mitatu au sita ila room self itapewa kipaumbele maeneo,soweto au kabwe block T.ni PM
 
Back
Top Bottom