mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 223
Habari wakuu, Natafuta Nyumba ya msajili wa Majumba (NHC) Maeneo ya Posta na kisutu, aina ya nyumba ninayotaka ni ile ya kumlipa mtu mwenye mkataba fedha ili anipe mimi nyumba, iwe na vyumba kuanzia viwili hadi vitatu , sebule jiko na choo, aliyekuwa naye tafadhali Ni PM Faster Tufanye Biashara
.