Natafuta nyumba ndogo

It takes two to tango.Labda tatizo ni wewe na staili ya stovu.
 
Njoo mtaani kwetu kuna bwabwa litakufaa mkuu.
 
Nyumba ndogo? Zipo nyingi sana. Hapa mtaani kuna moja iko kwenye finishing. Bado kuweka madirisha na milango tu. Kama vipi nipm nikutumie namba ya dalali Hussein
 
umeona ee, Hapo ndipo panaponichanganya, hayo mauno nayasikiaga tu hapa MMU ila sijawahi interact nayo nataman kuexperience the diffence
Kama shida ni mauno basi Mtafute Madame B,
Ila sina uhakika na Mkoa anaotokea.
 
Last edited by a moderator:
Nyumba ndogo? Zipo nyingi sana. Hapa mtaani kuna moja iko kwenye finishing. Bado kuweka madirisha na milango tu. Kama vipi nipm nikutumie namba ya dalali Hussein
Ina choo??

Maana "RAHA YA NYUMBA, CHOO"
 
hahahaaa, mume mwema umenichekesha sana, eti nayasikia jf tu.....
 
hyo tabia si nzuri mwenyewe ndo hujui mambo umejuaje kama ni sifuri basi na wewe ni sifuri nyani haoni....
 
...pepo lilimkamata huyu bwanamdogo ni baya sana,litammaliza sio masiala...
 
...pepo lilimkamata huyu bwanamdogo ni baya sana,litammaliza sio masiala...
 
kwetu pazuri nimepakumbuka, lalalaaaaaa
 
Ndiyo tabu ya kuingia tohara hospitalini....ungepitia ile ya porini Ungekuwa unaendesha mkwama km huna akili nzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…