Natafuta nyumba ndogo

Kwani uliambiwa ujana unashia shuleni? Hata kam ukiamaliza form 6 unamiaka 25 kwanza hapo ndo age nzuri ya kufanya ufuska wako kabla hujaingia 30s

Tuliosoma boys kaka weng hatunaga maujanja hayo
 
mfundishe kama unaweza.....atajua...

Nimezungumza naye sana, nimejaribu kumfundisha lakin wapi, haoneshi kubadilika leo wala kesho miaka miwili na ushee sasa nahisi kuna vtu adimu navikosa.
 
Nimezungumza naye sana, nimejaribu kumfundisha lakin wapi, haoneshi kubadilika leo wala kesho miaka miwili na ushee sasa nahisi kuna vtu adimu navikosa.
Sijui mkeo ni Kabila gani lakini kama mtu wa pwani bado haja chelewa kujifunza,na sijui lakini wewe hasa unachokitaka manake mambo ya ndani yana vitu vingi,kama vile mapenzi na ufundi wake,usafu wa mwili na nyumba,na pia sikuizi kuna watu wanafunda sasa kama unahitaji na unataka kumsaidia mpeleke huko,au mpeke kwa kungwi wangu Tanga anaitwa
mametabu anakaa mikanjuni nimzuri utakuja kunambia..................utafurahia mwanzo mwisho na ukiwa kazini akili iko nyumbani foleni ikikuzingua kwa hamu yakutaka kurudi nyumbani utapanda boda boda....
 
Hallow una mawazo mazuri sana naanza kupata faraja nitajaribu kumtafuta wa kumfunda na nikishindwa nitakupm unielekeze kwa huyo bibi amfundishe ili namimi niwe na enjoy maisha ya ndoa, kwan hata mtoto asiposhiba nyumba hula kwa majirani. nakushukuru kwa ushauri wako pengine nitaweza kubaki njia kuu kwan nitakuwa navipata ninavyovihusudu nje.
 
u wengine bhana ovyo, huoni hata aibu kumsema mkeo humu ndani, inaonesha ni kiasi gani usivojua thamani ya ndoa/mkeo. Eti ni sifuri kitandani yawezekana we mwenyewe ndo sifuri kabisa! Je na yeye akikuleta humu utajisikiaje?
 
Kama me sifuri nitajisikia sawa tu na kujirekebisha
 
wewe huna akili sijui ulimpataje huyo mwanamke
 
u wengine bhana ovyo, huoni hata aibu kumsema mkeo humu ndani, inaonesha ni kiasi gani usivojua thamani ya ndoa/mkeo. Eti ni sifuri kitandani yawezekana we mwenyewe ndo sifuri kabisa! Je na yeye akikuleta humu utajisikiaje?

anashida huyu mwanamke aliolewa na mwanaume kichaa asiyejitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…