Natafuta nyumba mbeya mjini:

Mrbwire

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
200
51
Natafuta nyumba ya kupanga mbeya mjini. Iwe ya vyumba viwili, sitting na jiko.Iwe na fensi na sehemu ya kutosha kwa parking na kuweka ng'ombe mmoja au wawili wa maziwa.

Naomba mwenye nyumba yenye sifa hizo ani PM fasta!
 
Shiny C, Mbalizi siyo Mbeya mjini ,ila ni Mbeya vijijini.

Asante mzee wa busara, binafsi siyafahamu hata maeneo ya huko... so I was about to consider his/her proposal. Wakuu nategemea msaada wenu. Kwa mwenye taarifa anayemjua dalali makini mbeya mjini pse! Once again, nakushukuru mzee wa busara!
 
ipo moja maeneo ya Jacaranda ambapo ndio kama city center karibu kabisa na stendi kuu ila ina chumba kimoja cha ndani na kingine nje,sitting room dining room ,maji,umeme,fensi ya maana ya ukuta parking ya hadi gari mbili kama sio tatu kabisa kama hizo specifications ziko sawa nawe ni pm
 
Naomba nikushukuru kwa taarifa hii kaka...nimekutumia PM
 
ipo moja maeneo ya Jacaranda ambapo ndio kama city center karibu kabisa na stendi kuu ila ina chumba kimoja cha ndani na kingine nje,sitting room dining room ,maji,umeme,fensi ya maana ya ukuta parking ya hadi gari mbili kama sio tatu kabisa kama hizo specifications ziko sawa nawe ni pm

Imekuwajeukawa kimya ghafla mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom