Natafuta nyumba Dodoma!!

Natafuta nyumba Dodoma!!

KRS

Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
32
Reaction score
5
habari wana jf!! natafuta nyumba ndogo nzuri ya kuishi hata kama ni servant quarter iwe ya vyumba viwili,kimoja kiwe self container. iwe na madirisha ya aluminium,dari ya gypsum ,sakafu ya tiles na pia iwe na sehemu ya kuweza kupaki gari.budget yangu ni 250,000/= hadi 300,000= kwa mwezi .iwe maeneo ya area d, area e ,kisasa or ipagala.
 
Hivi wewe mpangaji au mwenye nyumba?
 
Ni pm mkuu kuna nyumba ipo kisasa vyumba vinne, viwili master na ina parking na fensi inayo ila bei 400000
 
nashukuru!! but budget yangu ni kama nilivyoiandika hapo juu ndg yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom