Natafuta nyumba/chumba cha kupanaga:arusha

Natafuta nyumba/chumba cha kupanaga:arusha

HR CONSULTANT

Member
Joined
Jun 7, 2010
Posts
76
Reaction score
8
Wadau nategemea kuhamia arusha mapema mwezi ujao kwa neema ya mungu.naitaji nyumba au vyumba viwili vya kupanga.sio mwenyeji arusha ila ofisi yangu itakua eneo la njiro karibu na chuo cha esami. Nitapenda makazi yangu yawe sio mbali sana na eneo la ofsi angalau kilometa 10 maximum.
Naomba msaada wenu wadau.
Wasalaam!!
 
Njiro Nyumba ni kichaa...zipo juu sana kwa sababu ya wanafunzi wa Esami na Uhasibu....itabidi utakayopata hata kama haikidhi haja zako ukubali tu ukae huku unatafuta unayotaka taratibu..all the Best!!
 
Nashukuru wadau ngoja niendelee kupambana-yoyote mwenye habari anisaidie namba yangu ni 0653 07 59 49
 
andaaa 350,000 ama USD350-500 per month ila unaweza kuja na ki-Virtz chako na ukakaa kwa 200,000 house ya ukweli maeneo ya Kijenge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom