Mary Chuwa
Senior Member
- Feb 24, 2011
- 177
- 40
utapata yale mabanda ya udongo unadhani Arusha ni Dodoma:rain:
aksante Bw/Bi/Bibi hata hivyo hayo mabanda unayozungumzia ya kule Unga Ltd na kwingineko unapopafahamu Arusha,bei yake siyo laki moja hadi laki moja na nusu,na kila anayeweka tangazo siyo mgeni katika maeneo hayo najua zipo na anayefahamu kuna nyumba inapangishwa tafadhali naomba anijulishe,mimi ni mwenyeji kwahiyo maeneo mengi nayafahamu nikielekezwautapata yale mabanda ya udongo unadhani Arusha ni Dodoma:rain:
aksante Bw/Bi/Bibi hata hivyo hayo mabanda unayozungumzia ya kule Unga Ltd na kwingineko unapopafahamu Arusha,bei yake siyo laki moja hadi laki moja na nusu,na kila anayeweka tangazo siyo mgeni katika maeneo hayo najua zipo na anayefahamu kuna nyumba inapangishwa tafadhali naomba anijulishe,mimi ni mwenyeji kwahiyo maeneo mengi nayafahamu nikielekezwa
Wiselady,sawa mum,unataka maeneo gani exactly?pia kupata kwa urahisi ni lazma kumtumia dalali ambae pia utamlipa kodi ya mwezi mmoja anapokupatia nyumba
Wiselady,
Yule jamaa tuliekuwa nae juzi pale Lenana alisema kuna nyumba ambayo lalikuwa anakaa yeye, na sas amejenga yake...
Alisema iko eneo la Shamsi.
Mary Chuwa, tuendelee kuwasiliana, nitaongea na jamaangu fulani baadae, huenda tukafanikiwa!
Cheki na mimi basi .
Natafuta nyumba ya kupanga Arusha iwe ya vyumba viwili vya kulala,sebule,jiko,choo na bafu,pia geti,umeme na maji.
bei ianzie 100,000/= hadi 150,000/= kwa mwezi ndiyo tutakayomudu kwasasa wana JF msaada wenu.