ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habarini marafiki
Niko serious jamani anahitajika nurse ambaye atamhudumia mgonjwa nyumbani kwake, na
kumpangia dawa za kunywa, kumpikia chakula maalum chake anachokula, na kufanyia massage
mshahara ni mnono sana kwa anayehitaji au aliyena ndugu ambaye ni mzoefu katika unurse
anijuze tafadhali. Awe anaishi moro au dar pls kwa aliye serious na jambo hili anitaarifu
Narudia kusema tena niko serious wala si joke hapa
Nitwangieni kwa kuni pm
nakushauri pia peleka hili tangazo habari mchanganyiko, matangazo madogomadogo na Jf Doctor
Augue pole mgonjwa wako, Mungu akusaidie upate hitaji lako.
asante naomba unitafutie nurse anahitajika sana ni muhimu
nurse wa kike au wa kiume?
afadhali umeuliza....
Dah kama ulikuwa kichwani mwangunurse wa kike au wa kiume?
eeeeh awe specific!
Lisambaze sehemu husika kama kwenye kazi kule ukileta huku kwenye serikali mbili au tatu,uwazi au siri watu wanastress zaoHaya ngoja tulisambaze hili tangazo.
Nadhani utamfaa mtoa maada maana kwenye udobi utafua nguo za mgonjwa,kwenye kuokota chupa najua zitakuwepo za maji ya mgonjwa na mambo mengine mtaelewana na mwajiri wakoyeah, ni Kweli mimi hapo ni nesi wakiume japo nafanya kazi zingine .za udobi,uokotaji chupa ....
nurse wa kike au wa kiume?
yeah, ni kweli mimi hapo ni nesi wakiume japo nafanya kazi zingine .za udobi,uokotaji chupa ....
dah kama ulikuwa kichwani mwangu