Natafuta numba ya kupanga arusha.

wamoro

Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
62
Reaction score
16
Wadau natafuta haraka sana nyumba ya kupanga arusha iwe na vyumba 2 vya kulala,sebule na jiko na pia iwe self contained maeneo ya njiro/nanenane au karibu na njiro au mjini pia buget isizid 200000
 
Nyumba unayotafuta kwa bei hiyo njiro sina uhakika kama waweza kupata
 
kama uko tayari unga ltd ni pm.room 2 master jiko sebule.na paking ya kutosha gari 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…