chaUkucha JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,382 Reaction score 1,221 Jan 7, 2014 #1 zamani tulikuwa na noti ya sh 100 naitafuta sana najua itakuwa imechakaa sio mbaya isiwe imechanika iwe katika hali nzuri.
zamani tulikuwa na noti ya sh 100 naitafuta sana najua itakuwa imechakaa sio mbaya isiwe imechanika iwe katika hali nzuri.
N nickson1987 Senior Member Joined Aug 16, 2011 Posts 191 Reaction score 24 Jan 7, 2014 #2 Nitafute if u are serious 0714064767 coz ninayo hyo note
Tujisahihishe Tz Platinum Member Joined Nov 17, 2011 Posts 3,061 Reaction score 1,367 Jan 8, 2014 #3 ninazo nyingi sanaA mpaka simba mbili na rupia ya mjerumani kama unazitaka nitafute tugawane umasikini
ninazo nyingi sanaA mpaka simba mbili na rupia ya mjerumani kama unazitaka nitafute tugawane umasikini
Baba Kapompo JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 1,344 Reaction score 468 Jan 8, 2014 #4 una sh ngap mkuu? swali una sh ngap mkuu? una sh ngap mkuu? tukae chini
chaUkucha JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,382 Reaction score 1,221 Jan 8, 2014 Thread starter #5 sema wewe utaniuzia sh ngapi?
mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,502 Reaction score 372 Jan 8, 2014 #6 wewe ya nini?
chaUkucha JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,382 Reaction score 1,221 Jan 8, 2014 Thread starter #7 mandwa said: wewe ya nini? Click to expand... unayo?
S seveline Member Joined Aug 13, 2013 Posts 45 Reaction score 0 Jan 8, 2014 #8 ninayo note ya 100 sema una ngapi?
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,952 Reaction score 98,061 Jan 8, 2014 #9 Imani potofu ni janga,wewe sh 100 ya nini?
M MansaMusa Senior Member Joined Sep 11, 2013 Posts 103 Reaction score 13 Jan 9, 2014 #10 Chaukucha said: zamani tulikuwa na noti ya sh 100 naitafuta sana najua itakuwa imechakaa sio mbaya isiwe imechanika iwe katika hali nzuri. Click to expand... Zipo za aina nyingi ndugu, we unatafuta ipi hasa toa maelezo mazuri na mimi ninazo kama aina nne kwa hiyo eleza ni aina gani unayotafuta na wanunua kwa sh. ngapi. Ni vizuri ukapanga dau wewe ili iwe rahisi kufanya biashara if u r serious.
Chaukucha said: zamani tulikuwa na noti ya sh 100 naitafuta sana najua itakuwa imechakaa sio mbaya isiwe imechanika iwe katika hali nzuri. Click to expand... Zipo za aina nyingi ndugu, we unatafuta ipi hasa toa maelezo mazuri na mimi ninazo kama aina nne kwa hiyo eleza ni aina gani unayotafuta na wanunua kwa sh. ngapi. Ni vizuri ukapanga dau wewe ili iwe rahisi kufanya biashara if u r serious.
chaUkucha JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,382 Reaction score 1,221 Jan 9, 2014 Thread starter #11 King Kong III said: Imani potofu ni janga,wewe sh 100 ya nini? Click to expand... mambo ya imani yanahusika vip hapa unaonekana we ni much know sana so mind your own busness!
King Kong III said: Imani potofu ni janga,wewe sh 100 ya nini? Click to expand... mambo ya imani yanahusika vip hapa unaonekana we ni much know sana so mind your own busness!
Zuia Sayayi JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 841 Reaction score 140 Jan 9, 2014 #12 kama uko mwanza ncheki nkupe
MONSI WENGA Member Joined Aug 7, 2011 Posts 51 Reaction score 34 Jan 9, 2014 #13 Ninayo mkuu na sina kazi nayo. Lakini kumbuka msemo huu "nothing goes for nothing"
sexologist JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 2,276 Reaction score 976 Jan 9, 2014 #14 Chaukucha said: unayo? Click to expand... Kuwa specific.. nimefanya hyo biashara.. kwa sasa sina lakini kuzipata ni dakika sifuri. sema unataka zaaje na bei gani, nipm namba yako nitakutafutia za kutosha.. kuanzia ya mmasai na taa, trekta, simba juu ya mti, etc.. so specify!
Chaukucha said: unayo? Click to expand... Kuwa specific.. nimefanya hyo biashara.. kwa sasa sina lakini kuzipata ni dakika sifuri. sema unataka zaaje na bei gani, nipm namba yako nitakutafutia za kutosha.. kuanzia ya mmasai na taa, trekta, simba juu ya mti, etc.. so specify!