Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,278
- 44,416
Natafuta nokia za zamani zile n series au e series, inatakiwa iwe na kioo kirefu kuliko upana 240x320. Kwa mwenye nayo tuongee biashara. Nipo intererested zaidi na c5, n79, n86
pia kama unafahamu duka ambalo bado lina stock ya hz simu unaweza nisaidia
pia kama unafahamu duka ambalo bado lina stock ya hz simu unaweza nisaidia