10m hope utapata,ila hizi gari watu wengi wa Dar wanauza engine zake zikiwa zimechoka saaana.
Maana hapo kwa Liteace au Townace Noah unaweza kujikaza mpaka kwa 12 ukamshusha mtu Yard na ukawa na gari ya uhakika na dhamana.
Unaweza kwenda Yard na 10m,then ukawaomba wakakupa muda wa kumalizia,kama ni muajiriwa wa Serikalini hope watakupa gari bila masharti magum saana,zaidi ya mkataba tu.