Natafuta Nke wa kuoa nisaidieni yupi ananifaa kati ya hawa kumi na mbili?

Mwenye sifa namba 4 anakufaa ila ushauri wangu mchongee chupi ya bati pitisha na bomba ndanii kwa ndani ili akikojoa mkojo usidondokee kitandan
 
Namba 4 anakufaa ila ushauri chonga chup ya bati unganisha na bomba pitisha moja kwa moja mpaka nje alafu tengeneza bustan hapo ngoma dro
 
kama sio namba 8 basi zitakuwa namba zote mana pia wote wapo na tunaishi nao
 
Bora namba 12!

Kama mtu wa safari, naweza kumuanzishia biashara za logistics and transport!

Oa huyo.... she is a raw material!
 
Back
Top Bottom