Natafuta nilosoma nao.

LivingBody

Senior Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
166
Reaction score
15
Habari wana jamii,
Najaribu kutafuta watu nilopotezana nao muda mrefu, nisoma nao na kuishi nao.

mimi nilimaliza shule ya msingi Mgulani, Dar mwka 1990, enzi za Mwl Mkuu Mama Mwakianjala, na Mwl Masawe.
kuna watu ambao nawakumbuka kama kulikuwa na jamaa mmoja mkuu wa kikundi cha ngoma,, Mohamedi Mbuju, huyu tulimaliza nae shule na jamaa akina Mkundwe Mwasaga, Filbert Garusi na wengine,

Sekondary, nimesomea Montfort, Rujewa.

so, kama humu jamvini tumo pasi tuwasiliane,, plz

asanteni.
 
All the best mkuu
hopeful itawapa ta uwatafutao..
kama unasura kitabu (facebook)
Inasaidia sana kupata wapendwa mliopotezana kwa muda

Wakati unasubiri subiri walengwa
naomba usiwe bored sana burudika na
Sean Paul Ft Rihana ...BREAK IT OFF..
Peace..
 
 
 
All the best mkuu
hopeful itawapa ta uwatafutao..
kama unasura kitabu (facebook)
Inasaidia sana kupata wapendwa mliopotezana kwa muda

Wakati unasubiri subiri walengwa
naomba usiwe bored sana burudika na
Sean Paul Ft Rihana ...BREAK IT OFF..
Peace..
Asante kwa kunibudisha huku nikisubili.


itaangalia na huko kwenye Kitabu cha sura pia.
 
 
 
Asante kwa kunibudisha huku nikisubili.


itaangalia na huko kwenye Kitabu cha sura pia.

Hahahah kitabu cha sura daahh
hii kali.
Nway kati ya hiyo kitabu cha sura
Na sura kitabu lazima utmpata mtu..
all the best..
 
Endelea kujianika tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…