Pilato2006 Senior Member Joined Aug 25, 2008 Posts 124 Reaction score 37 Oct 6, 2014 #1 Natafuta ng'ombe wa maziwa wa kunua amabaye kapandwa. Tuwasiliane
mob JF-Expert Member Joined Dec 4, 2009 Posts 2,262 Reaction score 1,360 Oct 6, 2014 #2 Pilato2006 said: Natafuta ng'ombe wa maziwa wa kunua amabaye kapandwa. Tuwasiliane Click to expand... mkuu pita mitaa ya ubungo darajani kuna jamaa namwonaga anawauza pale kaka
Pilato2006 said: Natafuta ng'ombe wa maziwa wa kunua amabaye kapandwa. Tuwasiliane Click to expand... mkuu pita mitaa ya ubungo darajani kuna jamaa namwonaga anawauza pale kaka
M mafutememasasi Member Joined Sep 28, 2014 Posts 18 Reaction score 1 Oct 6, 2014 #3 Mimi Nina NG'OMBE WA maziwa wapo Karagwe
bigjigah Member Joined Jan 28, 2014 Posts 11 Reaction score 0 Oct 7, 2014 #4 Upo wapi dar or ni pm nikuelekeze ngo'mbe wazuri wanapatikana wapi Thx god