K Kimeo Member May 19, 2009 77 11 Mar 14, 2012 #1 Wapi nitapata ng'ombe wa kienyeji na kwa bei gani hasa morogoro nataka nianze kufuga mkuranga
N Nguto JF-Expert Member Apr 11, 2011 3,669 1,791 Mar 15, 2012 #2 Nenda vijijini mbona wengi. Tena sio mbali hapo Chalinze tu kuna wa masai wengi na wamang'ati wana ng'ombe kibao. Uliza siku ya mnada utamnunua ng'ombe wako. Kimeo said: Wapi nitapata ng'ombe wa kienyeji na kwa bei gani hasa morogoro nataka nianze kufuga mkuranga Click to expand...
Nenda vijijini mbona wengi. Tena sio mbali hapo Chalinze tu kuna wa masai wengi na wamang'ati wana ng'ombe kibao. Uliza siku ya mnada utamnunua ng'ombe wako. Kimeo said: Wapi nitapata ng'ombe wa kienyeji na kwa bei gani hasa morogoro nataka nianze kufuga mkuranga Click to expand...
Prishaz JF-Expert Member Nov 18, 2011 2,855 4,895 Mar 15, 2012 #3 hata hapo moro maeneo ya kilosa ng'ombe utapata wengi tu
uberimae fidei JF-Expert Member Dec 16, 2016 2,406 3,594 Oct 30, 2019 #5 Kama Bado ujapata njoo pm ,tufanye biashara