0752025140
Member
- Sep 8, 2021
- 6
- 0
Ahsante mkuuMungu awe nawe
Achana na Mambo ya kufundisha ,ni umasikini mkubwa Sana ...Habarii Ndugu Zangu,
Kwamajina naitwa Mwalimu Francis Mwakilima Nimuhitimu Wa Shahada ya Ualimu(UDSM) Masomo ya Kiingereza na Fasihi ya Kiingereza, natafuta nafasii katika shule yeyote yenye uhitajii wa walimu wa Masomo Kama Yangu. Naishi Mkoa Wa Mbeya Namba Zangu 0752025140
Kwa hiyo afanye nini?mpe ramaniAchana na Mambo ya kufundisha ,ni umasikini mkubwa Sana ...
Angalia masirahi...kama hapo ulipo panalipa achana na ualimuJamani Naomba Kuuliza,,Mimi Nimehitimu Degree Ya Ualimu,Lakini Nimebahatika Kupata Ajira Upande Wa Mahakama,Je Kuna Uwezo Wa Kufanya Transfer Kurudi Kwenye Coarse Yangu Pendwa,Na Kama Kuna Uwezekano inakuajee,Msaada Please!!.
Wewe ni jipu ,umefikaje huko ...???Jamani Naomba Kuuliza,,Mimi Nimehitimu Degree Ya Ualimu,Lakini Nimebahatika Kupata Ajira Upande Wa Mahakama,Je Kuna Uwezo Wa Kufanya Transfer Kurudi Kwenye Coarse Yangu Pendwa,Na Kama Kuna Uwezekano inakuajee,Msaada Please!!.