Wapi,mkuu? Dar au Arusha? Ana kichwa cha IT? Ni muhimu kujua vitu kama hivyo na lengo la kumtaka asome IT ni lipi,mkuu?Wakuu habari zenu,nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana,ila kwa bahati mbaya hakufanikiwa kupata credit,sasa anahitaji kusoma ucc(university computing centre),ili aanze na cheti,diploma na baadae degree ya IT.je naweza pata nafasi pale.
1.pia naomba ushauri wa plan b kama CBE,DIT IFM NA INSTITUTE NYINGINE.
2.Kama kuna mtu ana connection ya hao jamaa wa hivyo vyuo naomba mni pm au mnicall kwa 0654000253:
3.Elimu ni ufunguo wa maisha,natamani mdogo wangu usome and i believe msaada utataoka huku JF.
Shukrani nawasilisha.
Ina maana DIT siku hizi nao wanachukua vilaza, nakumbuka enzi hizo bila Div 1 au 2 hutii mguu pale!.Jaribu DIT Mkuu ka system bado haijabadilika, kuna jamaa zng nilimaliza nao O'level hawakuwa na Credit ila walipata hapo, mmoja alipiga cheti cha Comp Science n mwenzake alipiga Mining
Jaribu DIT Mkuu ka system bado haijabadilika, kuna jamaa zng nilimaliza nao O'level hawakuwa na Credit ila walipata hapo, mmoja alipiga cheti cha Comp Science n mwenzake alipiga Mining
thanks kwa mawazo yako kaka,kama utakuwa na connection ya pa kuanzia pse ni PM nika stuggle. Thanks.
Wakuu habari zenu,nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana,ila kwa bahati mbaya hakufanikiwa kupata credit,sasa anahitaji kusoma ucc(university computing centre),ili aanze na cheti,diploma na baadae degree ya IT.je naweza pata nafasi pale.
1.pia naomba ushauri wa plan b kama CBE,DIT IFM NA INSTITUTE NYINGINE.
2.Kama kuna mtu ana connection ya hao jamaa wa hivyo vyuo naomba mni pm au mnicall kwa 0654000253:
3.Elimu ni ufunguo wa maisha,natamani mdogo wangu usome and i believe msaada utataoka huku JF.
Shukrani nawasilisha.