Natafuta nafasi ya Internship kwenye kampuni ya Bima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nafasi ya Internship kwenye kampuni ya Bima

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Rogie, Aug 21, 2011.

 1. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Habarini za wakti GT, naimani humu ndani ntapewa mwanga katika hili suala langu.. Natafuta internship kwenye kampuni yoyote ya bima. Nimejaribu kutuma maombi lkn mpk leo kimya. Nimesoma bima na uzuiaji majanga.<br />
  <br />
  Sababu ya kutafuta<br />
  Nilibahatika kupata kazi ambyo co professional niliyokuwa nasomea nilipokuwa nasoma chuo. Kipindi wengine wanafanya fields mm nilikuwa nafanya projects na nimefanya projects mbili. Sasa nahitaji niwe conversant practically zaidi wkt bado cjaamua kudevelop career yangu. Natanguliza shukrani
   
Loading...