Natafuta Mwenza !!

Vigezo vyako havijitoshelez mkubwa, kuwa specific!
 
We jamaa hovyo kabisa vigezo gani hivyo ulivyoweka wewe huna harufu??!!! Mijitu mingine bana kawa michawi vile
 
Jamani Desi poleeeeeee.........Huyu jamaa atakuwa amekuharibia siku yako dear. Cheki PM utafurahi ghafla.
 
Koma lia nao tu mkuu...
 
Vijana wa siku hizi wamekuwa madomo zege wa kufa mtu.

Wanawake kibao mitaani, wazuri na wenye heshima zao wanaogopa kuwatongoza wanakuja kulialia huku mitandaoni.

Hivi hii mitandao isingekuwepo ingekuwaje?:juggle::juggle:
 
Babu.....vijana wanaenda na wakati ati! Hata kwenye uchumba ni mambo ya dot.com.....!!!! Wewe unataka watumie mbinu ulizotumia wewe enzi zileeeeeeee........
 
Enzi za ukitongoza demu lazima ang'ate unyasi....ilikuwa na raha yake bana!:juggle:
 
Hahahaha......mabinti wa siku za hizi wanakuangalia kwenye macho..hakuna kuangalia chini.. hahah! vijana wanakosa ujasiri wa kutongoza....
 
Hehehe...wakiona unachelewa wanakuwahi kwa kukukonyeza. Nashangaa kwanini vijana wasiku hizi wanashindwa kutongoza wakati mabinti siku hizi hawajui kusema 'Aku thtaki mie, ntakuthemea kwa baba"

Siku hizi mambo kiulainiii?

Mimi: Mambo
Binti: Poa
Mimi: Sasa:
Binti: Nakusikiliza wewe
Mimi: Kesho jioni utakuwa na nafasi?
Binti: Saa ngapi
Mimi: Kwenye kumi unusu hivi
Binti: Hamna noma, ntakubipu mama akitoka. Lakini usindanganye...........

Kwisha mchezo!!!
 
hahahahah...eti nitakusemea kwa baba!!!!...........Vijana wa siku hizi mpaka wanaanzisha sredi "eti nampenda nashindwa nimwambieje".....Inabidi uanzishe tution babu kwa vijana uwape shule...........
 
Hahahahaha................!

Unaweza ukawa unatoa twisheni ukashngaa unaambiwa: Oyaaa babu unatuwekea usiku hapa!
 
Jamani Desi poleeeeeee.........Huyu jamaa atakuwa amekuharibia siku yako dear. Cheki PM utafurahi ghafla.

Aliniharibia sana maana hata net ilikata kabisa toka jana. halafu ndo umenifanyaje sasa poa tu mshikaji
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…