duh kweli binadamu tumetofautiana yani
upo 35, mwanaume keshakuachia watoto 2 bado unataka mwanaume tena😲like siriazly🤔?[kwa sauti ya babra yule wa claudzfm]
mm ningekushauri ubaki mwenyewe na wanao uko unakotaka kwenda ni kutafuta stress ingine ĺabda km unatafuta ela ya kusomeshea hao watoto
hlf ndoa sio ya kila mtu.. kuna dem namfaham yy ameshajijua kwa jins alivyo hawez kuishi na mwanaume kwaiyo amejikubali anaishi fresh tu mwenyewe na watoto wake na humuoni akiyumba kimaisha
sore huu ni ushauri tu
Achukue huu ushauriduh kweli binadamu tumetofautiana yani
upo 35, mwanaume keshakuachia watoto 2 bado unataka mwanaume tena😲like siriazly🤔?[kwa sauti ya babra yule wa claudzfm]
mm ningekushauri ubaki mwenyewe na wanao uko unakotaka kwenda ni kutafuta stress ingine ĺabda km unatafuta ela ya kusomeshea hao watoto
hlf ndoa sio ya kila mtu.. kuna dem namfaham yy ameshajijua kwa jins alivyo hawez kuishi na mwanaume kwaiyo amejikubali anaishi fresh tu mwenyewe na watoto wake na humuoni akiyumba kimaisha
sore huu ni ushauri tu
Ninasifa za kuwa mmeo. Nipo Kahama ShinyangaMimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
Usimpangie Mungu!! Mungu ananjia nyingi tofauti na uelewa wako!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila humu..dada umekosea njia nakushauri piga goti muombe Mungu mume anatoka Kwa Bwana Sio humuJF
uko wapi kama mbeya 0764125128Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
Still looking, genius of love i'm on my way ✈️Siko interested na vijana wadogo tafadhali
Kama utaona inafaa tufanye kama babu zetu wa zamani,,,,ikiwa na maana walikuwa na mke zaidi ya mmoja.Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
Naahidi kukusaidia upate mwanaume,nimesoma maelezo yako nimekuonea huruma,je una masharti kuhusu wanaume ambao ni machotara,au waarabu,wahindi,wazungu?Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
....kwa sababu ex alikuwa mkurya ATI... 🤪🤪🤪Hayawezi kubadilika tafadhali
Daah [emoji38][emoji38][emoji38]marehemu Mme wako alizikwa wapi?
Mkuu unaongea maneno kama haya unapata faida gani?
Mungu akufanikishieMimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
Hili swali NI muhimu akikujibu mm naingia mzima mzima wallahSamahani Kama ntakukwaza Una offer nni kwenye mahusiano ili uwe asset kuliko kuwa tegemezi
Plz naomba unijibu hili swali
ajabuMkuu unaongea maneno kama haya unapata faida gani?
Hii ni December 2024 Kama hujampata nitafute umri wangu ni 54Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.