Mungu akujalie umpate anayekufaaMimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Awe kabila lolote kasoro mkurya, mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana
You think Loneleness is freedom?BTW achana na kuolewa jumla. Olewa kwa masaa ubaki na uhuru wako
Mkuu unaongea maneno kama haya unapata faida gani?Useme Mume wako alizikwa wapi , ulete na cheti cha kifo ili mtu akiamua akustiri Tu miaka 35 k inakua hata Ute umeshaisha na ladha inakua kama ya tango anayekustiri inabidi ajitoe kwelikweli
Uko sahihi....wasichana wengi wanatembea na waume za watu hawataki ndoa zao.Naimani yupo Mungu amanipangia na atanipa kwa wakati wake sahihi, 35 ni umri ambao bado mtu akipata mwenza wanaishi tu vizuri kuliko kuishi maisha ya usimbe na kuharibu ndoa za watu maana kwa vyovyote mahusiano yanakuwa ya kuingia na waume za watu unaishia kuvuruga ndoa ambayo ilikuwa na utulivu
πππHayawezi kubadilika tafadhali
πππHayawezi kubadilika tafadhali