True Man11
Member
- Oct 14, 2022
- 95
- 139
mbona wako wako unae unatembea naye, unakula nae na una lala nae, siyo mwingine bali ni MKONO wako ndo my wako wako π.Habari ndugu zangua,
Nakuwaga najiuliza saana lini nitapata Wangu wa maisha wa aina nimtakaye hata akiwa na mapungufu kidogo basi turekebishane maana mimi pia sijakamilika.
Muda mwingi nawaza kwann simpati ama wapi nakosea?? nachoko kuwa single na mpweke, najua hali hii mwengi mko naye wadada na wanaume pia kutokana na mazingira / kazi au hata malezi, naomba mwanamke aliye kwenye hali ya uhitaji kama wangu basi tuungane, karibu PM mrembo wangu nipo tayari kukupenda, kukuheshimu na kukujali, nitafuta mambo yangu yote na nitaanza maisha mapya na wewe pale utakapokuwa tayari, umri wangu ni miaka 35 ni single baba pia. na wishi nipate msichana anayejitambua saana bila kujali umri wala kabila.
naomba nifate PM tufahamiane na maelezo zaidi.
πππDada me naona ndoa hakuna
Huyo kijana wako nina mashaka nae
Mkioana wala sishoni nguo mieeeπππ
Mimi kwangu no Senkyuuuuπππ
Siyo kwa ajili yangu,
Mimi nimeshawahiwa na mtoto wa mamkwe,
Nilitaka nishone sare kati ya mmoja wenu warembo wangu.!!
daaah!!!Kaka kaka Kaka nakuita mara Tatu wanasema kataa NDOA ni utumwa
ha ah aaaaaaaaaaaambona wako wako unae unatembea naye, unakula nae na una lala nae, siyo mwingine bali ni MKONO wako ndo my wako wako π.
Hawa wengine ni tuna share tu na binadamu wenzetu kuwa mpole tu kijana.
ha haaaaaaaaaaUtasikia "Tunza kibunda" ππ
???Kataa ndoa gang bado wapo kwenye jukwaa la mikeka wanabishana ngoja waje
Wanawake wa jf hawatumiagi PM, we wawekee hapa namba yako ya simu, watakupigia na utachagua umtakayeNaomba nifate PM tufahamiane na maelezo zaidi.
kaolewa 8yrs agoMama wa mtoto yuko wapi?!